Join us for a special event as we proudly raise the Tanzanian flag at City Hall in Toronto. Celebrate the rich cultural heritage of Tanzania with us.
- Date: December 14, 2024.
- Time: 10:00 AM. – 12 Noon (EST).
- Location: Toronto City Hall, 100 Queen St. West, Toronto, Ontario.
Representatives of the Tanzanian High Commission will be in attendance.
~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~
Jiunge nasi kwenye tukio maalum la kupandisha bendera ya Tanzania katika Jengo la Halmashauri ya Jiji la Toronto. Tuunge mkono tukisherehekea utajiri wa tamaduni ya Tanzania.
- Tarehe: Disemba 14, 2024.
- Muda: Saa Nne kamili asubuhi hadi Saa Sita mchana.
- Mahali: Jiji la Toronto, Halmashauri ya Jiji, 100 Queen St. W. Toronto, Ontario.
Wawakilishi wa Ubalozi wa Tanzania watakuwepo.